Julius Mtatiro: Nikiwa kama kampeni Meneja wa Wakili Nkuba nimemshauri asiende Mahakamani. Uchaguzi ulikuwa wa wazi na kidemokrasia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mtatiro.png

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Msomi Julius Mtatiro amesema yeye kama Kampeni Meneja wa Wakili Nkuba amemshauri asiliendeleze suala hilo.

Mtatiro kupitia ukurasa wake wa X amesema Uchaguzi ulikuwa wa Wazi na Kidemokrasia na Wakili msomi Mwabukusi ndiye Mshindi halali

Ahsanteni Sana 😂

Kwako Chawa Choicevariable

Pia soma
 
Mkuu wa Wilaya ya Simiyu Wakili Msomi Julius Mtatiro amesema yeye kama Kampeni Meneja wa Wakili Nkuba amemshauri asiliendeleze swala hilo

Mtatiro kupitia ukurasa wake wa X amesema Uchaguzi ulikuwa wa Wazi na Kidemokrasia na Wakili msomi BAK Mwabukusi ndiye Mshindi halali

Ahsanteni Sana 😂

Kwako Chawa Choicevariable
Jo wewe ni king'amuzi 🤜🤛
 
Asante Mtatirooooooooo 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Atamsikiliza?

Bado sijaliona bandiko la wakili msomi Paschal Mayalla akilizungumia hilo.
 
Mkuu wa Wilaya ya Simiyu Wakili Msomi Julius Mtatiro amesema yeye kama Kampeni Meneja wa Wakili Nkuba amemshauri asiliendeleze swala hilo

Mtatiro kupitia ukurasa wake wa X amesema Uchaguzi ulikuwa wa Wazi na Kidemokrasia na Wakili msomi BAK Mwabukusi ndiye Mshindi halali

Ahsanteni Sana 😂

Kwako Chawa Choicevariable
Kushindwa kunauma Sana, alikuwa na uhakika kwamba lazima angetangazwa kuwa Mshindi hata kama angepata Kura chache. Kwa bahati mbaya sana "Jecha wa TLS" hakupata nafasi hiyo ya kumtangaza.
 
Mkuu wa Wilaya ya Simiyu Wakili Msomi Julius Mtatiro amesema yeye kama Kampeni Meneja wa Wakili Nkuba amemshauri asiliendeleze swala hilo

Mtatiro kupitia ukurasa wake wa X amesema Uchaguzi ulikuwa wa Wazi na Kidemokrasia na Wakili msomi BAK Mwabukusi ndiye Mshindi halali

Ahsanteni Sana 😂

Kwako Chawa Choicevariable
Sasa Meneja inakuwaje mkapigwa chini kinyama namna ile na mtu aliyefanya kampeni kwa siku 3 tu?
 
Moja ya lalamiko la SWITII ni kwamba watu walikuwa na matokeo kabla ya kamati kutangaza ,kama akipeleka mahakamani it means on the spot atashindwa kasababu mtatiro na yeye alikuwa wa kwanza kumtangaza SWITII ameshinda.
 
1.Sikio la kufa huwa halisikii dawa.
2. La kuvunda halina ubani.

Technically, Mwabukusi alifanyiwa kampeni na Serikali kupitia figisu fugisu alizofanyiwa Wakili huyo.
Ila mno mengine wakati mwingine😄

Nani alitaka kumfutia uwakili?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ninafirahi haki inapoenda kwa mwenye haki🤣
 
HILI NALO MKALITAZAME

Namuagiza MTATIRO akaliangalie hili kwa makini tufanye uchambuzi yakinifu tujue "tunakwenda vipi".

Tumesikia "vijikelele kelele" kutoka kwa Nkuba hivyo nawaagiza mwende MKALITAZAME kisha mtuletee ripoti yenye HADIDU REJEA.
 
Moja ya lalamiko la SWITII ni kwamba watu walikuwa na matokea kabla ya kamati kutangaza ,kama akipeleka mahakamani it means on the sport atashindwa kasababu mtatiro na yeye alikuwa wa kwanza kumtangaza SWITII ameshinda.
Na hayo ndio ccm hufanya Kama mbinu za ushindi wakati wa uchaguzi mkuu wa wabunge na Raisi , sasa leo anataka kwenda kuwavungua Nguo… Jecha hajafufuka bado…what goes around comes around- ndivyo ngozi nyeupe isemavyo…
 
Back
Top Bottom