johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jo wewe ni king'amuzi 🤜🤛Mkuu wa Wilaya ya Simiyu Wakili Msomi Julius Mtatiro amesema yeye kama Kampeni Meneja wa Wakili Nkuba amemshauri asiliendeleze swala hilo
Mtatiro kupitia ukurasa wake wa X amesema Uchaguzi ulikuwa wa Wazi na Kidemokrasia na Wakili msomi BAK Mwabukusi ndiye Mshindi halali
Ahsanteni Sana 😂
Kwako Chawa Choicevariable
Wilaya ya simiyu ndo wapi huko?Mkuu wa Wilaya ya Simiyu na Wakili msomi BAK Mwabukusi ndiye Mshindi halali
Ahsanteni Sana 😂
Kwako Chawa Choicevariable
Mkoani Simiyu 😂😂Wilaya ya simiyu ndo wapi huko?
Simiyu kuna Wilaya nyingi, Nkuba kubali kushindwa lick your wounds and fight another day.Wilaya ya simiyu ndo wapi huko?
Asante Mtatirooooooooo 🤣 🤣 🤣 🤣Mkuu wa Wilaya ya Simiyu Wakili Msomi Julius Mtatiro amesema yeye kama Kampeni Meneja wa Wakili Nkuba amemshauri asiliendeleze swala hilo
Mtatiro kupitia ukurasa wake wa X amesema Uchaguzi ulikuwa wa Wazi na Kidemokrasia na Wakili msomi BAK Mwabukusi ndiye Mshindi halali
Ahsanteni Sana 😂
Kwako Chawa Choicevariable
Atamsikiliza?Mkuu wa Wilaya ya Simiyu Wakili Msomi Julius Mtatiro amesema yeye kama Kampeni Meneja wa Wakili Nkuba amemshauri asiliendeleze swala hilo
Mtatiro kupitia ukurasa wake wa X amesema Uchaguzi ulikuwa wa Wazi na Kidemokrasia na Wakili msomi BAK Mwabukusi ndiye Mshindi halali
Ahsanteni Sana 😂
Kwako Chawa Choicevariable
Kushindwa kunauma Sana, alikuwa na uhakika kwamba lazima angetangazwa kuwa Mshindi hata kama angepata Kura chache. Kwa bahati mbaya sana "Jecha wa TLS" hakupata nafasi hiyo ya kumtangaza.Mkuu wa Wilaya ya Simiyu Wakili Msomi Julius Mtatiro amesema yeye kama Kampeni Meneja wa Wakili Nkuba amemshauri asiliendeleze swala hilo
Mtatiro kupitia ukurasa wake wa X amesema Uchaguzi ulikuwa wa Wazi na Kidemokrasia na Wakili msomi BAK Mwabukusi ndiye Mshindi halali
Ahsanteni Sana 😂
Kwako Chawa Choicevariable
Sasa Meneja inakuwaje mkapigwa chini kinyama namna ile na mtu aliyefanya kampeni kwa siku 3 tu?Mkuu wa Wilaya ya Simiyu Wakili Msomi Julius Mtatiro amesema yeye kama Kampeni Meneja wa Wakili Nkuba amemshauri asiliendeleze swala hilo
Mtatiro kupitia ukurasa wake wa X amesema Uchaguzi ulikuwa wa Wazi na Kidemokrasia na Wakili msomi BAK Mwabukusi ndiye Mshindi halali
Ahsanteni Sana 😂
Kwako Chawa Choicevariable
Inawezekana "mzigo" waliubania 😄Sasa Meneja inakuwaje mkapigwa chini kinyama namna ile na mtu aliyefanya kampeni kwa siku 3 tu?
Walijifanya kiburi kutowasikiliza "wakubwa"Sasa Meneja inakuwaje mkapigwa chini kinyama namna ile na mtu aliyefanya kampeni kwa siku 3 tu?
Wewe hujui chochote wewe!Inawezekana "mzigo" waliubania 😄
1.Sikio la kufa huwa halisikii dawa.Sasa Meneja inakuwaje mkapigwa chini kinyama namna ile na mtu aliyefanya kampeni kwa siku 3 tu?
Ila mno mengine wakati mwingine😄1.Sikio la kufa huwa halisikii dawa.
2. La kuvunda halina ubani.
Technically, Mwabukusi alifanyiwa kampeni na Serikali kupitia figisu fugisu alizofanyiwa Wakili huyo.
Na hayo ndio ccm hufanya Kama mbinu za ushindi wakati wa uchaguzi mkuu wa wabunge na Raisi , sasa leo anataka kwenda kuwavungua Nguo… Jecha hajafufuka bado…what goes around comes around- ndivyo ngozi nyeupe isemavyo…Moja ya lalamiko la SWITII ni kwamba watu walikuwa na matokea kabla ya kamati kutangaza ,kama akipeleka mahakamani it means on the sport atashindwa kasababu mtatiro na yeye alikuwa wa kwanza kumtangaza SWITII ameshinda.