Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Eneo rahisi la kuvutia watanzania wenye shida zilizosababishwa na CCM , ni kuanzisha Kanisa.
Huko ndiko watu kama "Kiboko ya wachawi" alikotapeli maelfu ya watanzania na kuachwa na CCM "atorokee" kwao Kongo na kuanza kuwananga wateja zake wa zamani kuwa ni wajinga.
Leo nimeiona hii Clip ya Julius Mwita aliyekuwa CHADEMA na kuhamia CHAUMMA kama kwa mbaali akianza kuingia kwenye kuwa "motivational gospel Preacher" kama kina Tony Kapola.
Hebu angalia Kwa Darubini Kali hii clip utaelewa ninachomaanisha.
View attachment 3436919
johnthebaptist sabato si imekwishapita?
πππ
Mbona he sounds like a nigerian guy.Eneo rahisi la kuvutia watanzania wenye shida zilizosababishwa na CCM , ni kuanzisha Kanisa.
Huko ndiko watu kama "Kiboko ya wachawi" alikotapeli maelfu ya watanzania na kuachwa na CCM "atorokee" kwao Kongo na kuanza kuwananga wateja zake wa zamani kuwa ni wajinga.
Leo nimeiona hii Clip ya Julius Mwita aliyekuwa CHADEMA na kuhamia CHAUMMA kama kwa mbaali akianza kuingia kwenye kuwa "motivational gospel Preacher" kama kina Tony Kapola.
Hebu angalia Kwa Darubini Kali hii clip utaelewa ninachomaanisha.
View attachment 3436919
johnthebaptist sabato si imekwishapita?
πππ
Nyinyi waumini tegemez, mtaliwa vihela vyenu had mkomeKajaribu wewe uone kama mwaka mzima utapata watu 20
Kafungue nije na familia ya yangu tuko 18, tafuta 2 tuwe 20.Nyinyi waumini tegemez, mtaliwa vihela vyenu had mkome
Nyinyi waumini tegemez, mtaliwa vihela vyenu had mkome