Julius Nyaisanga 'Uncle J' aacha kazi

BigMan

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2007
Posts
1,096
Reaction score
135
habari waungwana,nasikia mtangazaji mkongwe katika bongo yetu Julius Nyaisanga maarufu kama anko j ameacha kazi radio one na ITV na nimefuatilia vipindi vyake kuanzia mambo mseto na radio one doctor sijamsikia,mwenye taarifa zaidi naomba animwagie
 
Mwisho wa mwaka huu mkuu, yuko likizi, hata Gadna wa Clouds ilivumishwa kaacha kazi kisa hasikiki redioni kumbe alichukua kilikizo
 
habari waungwana,nasikia mtangazaji mkongwe katika bongo yetu Julius Nyaisanga maarufu kama anko j ameacha kazi radio one na ITV na nimefuatilia vipindi vyake kuanzia mambo mseto na radio one doctor sijamsikia,mwenye taarifa zaidi naomba animwagie

Huyu anatandika pombe na Madem, sijui kama akiacha kazi kiyuo gani kitamchukua......
 
Kilichotokea: Alimtishia nyau-alilewa na alipoamka na pombe zake akaandika barua kwa Mhavile kuwa naacha kazi. Akili zilipomrudia, akarudi chapchap na kueleza kuwa barua aliiandika kwa makosa, lakini Mhavile akamwambia barua imeshafika na imefanyiwa kazi na ombi lako limekubaliwa,. Hivyo mkurya yuko bench hivi sasa
 


Mbona uhuni huo. Labda kama walikuwa wamemuundia zengwe muda mrefu. Haiingii akilini kwa mtu hii habari hapa
 

Mpita Njia,
Oh.. basi kama ni kweli inasikitisha- maani ni mtangazaji mahiri tangu akiwa Redio Tanzania enzi zile!!!!

Sasa anafanya nini?
 
Jana nilikuwa naye maeneo ya Mwenge na hajaniambia chochote kuhusu hilo - may be it is a personal issue ndio maana akuligusia! Nita-confirm naye later today na tutaweza jua kipi ni kipi!
 
Ila mi namkubali sana Uncle J katika kutangaza.
Kama ana vyeti vyake aende TBC hakosi kazi pale atapata tu.
 
Ila mi namkubali sana Uncle J katika kutangaza.
Kama ana vyeti vyake aende TBC hakosi kazi pale atapata tu.

tatizo ni tabia yake ya ulevi. naamini kuwa vituko anavyovifanya akiwalewa ndivyo vimesababisha joyce amchukie
 
The Guy is good on the game, yaani ni mtangazaji mkongwe na mahiri. Tangu RTD kinywaji kilikuwa kinapanda na kazi anachapa. Tangu amejoin Radio One ni kazi na dawa kama kawa, iweje leo ndio awe mlevi. The Truth, Joyce Mhavile ni mtu mgumu kufanya nae kazi. She is Iron Lady who tolarates no nonsense. Lazima kuna mahali wamepishana kiswahili Julius akakasirika.
 
Option ni kwenda TBC kama watamkubali but kazi anachapa
 
Wanyalu dont tolerate bullshit....I second you Semhaville....you go girl!
 

....Uncle J labda alimwomba issue akiwa tingasi!!? Maana nasikia yule dada wa kinyalu nyeti zake amezitwanga kufuri la chuma lililomiminiwa shaba. Kulivunja inabidi uje na welding ya kukatia vyuma vya tractor..... na ukishindwa na moto unakuwakia!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…