Julius Nyaisanga 'Uncle J' aacha kazi

Of course i am a proud Nyalu aisee from Nyalu land...and no its not true kuwa wanyalu wanakula Mbwa..nikamsemo tuu hako.

sasa hako kamsemo kalitokea wapi maana hivi vimisemo huwaga vina ukweli ndani yake?
 
....Uncle J labda alimwomba issue akiwa tingasi!!? Maana nasikia yule dada wa kinyalu nyeti zake amezitwanga kufuri la chuma lililomiminiwa shaba. Kulivunja inabidi uje na welding ya kukatia vyuma vya tractor..... na ukishindwa na moto unakuwakia!.


That is grossy!...For the record Dada Joyce doesnt take any bullshit she is such a strong woman,wee ueajiriwa kufanya kazi na siyo kutongoza au kuleta lelemama piga mzigo matokeo utayapata mwisho wa mwezi...tatizo mmeshazoea wale wanawake wanaosema yes sir (maharagwe ya Mbeya).Wanawake wa Kinyalu ni very beautiful,strong and very smart.
 
....Uncle J labda alimwomba issue akiwa tingasi!!? Maana nasikia yule dada wa kinyalu nyeti zake amezitwanga kufuri la chuma lililomiminiwa shaba. Kulivunja inabidi uje na welding ya kukatia vyuma vya tractor..... na ukishindwa na moto unakuwakia!.

Jamaa ni Bosi wa Radio one, kwa vibinti vinavyopenda kazi ya utangazaji na vinakuwa tayari kwa lolote, jamaa atakuwa ametafuna vidagaa mpaka basi, na ukizoea dagaa samaki hawapandi.
Hata awe tingasi vipikwa yule samaki mkubwa asingethubutu kwani hajipendi?. Pale sio kufuli ya chuma bali ni matawi-ya juu. Tena jinsi alivyoaminiwa na top post kwa muda mrefu hivi, si bure. Dingi mwenye mali si anaeleweka. Lazima atakuwa alipita, ili kumtunzia heshima, unaweka kufuli ya chuma kusubiri siku ya kukumbukwa. Na sisi wanaume watu wa ajabu sana ukipita mahali hata kama hukupendezewa lazima utataka tena tuu, imekuwa ni tabia.
 

Hahahaah!😀
 


??????????????????😱
 
Jana nilikuwa naye maeneo ya Mwenge na hajaniambia chochote kuhusu hilo - may be it is a personal issue ndio maana akuligusia! Nita-confirm naye later today na tutaweza jua kipi ni kipi!
Kamanda, vipi ulimwona huyo Uncle J?
 
Naamini kila mtu ana mwisho wake. Unaweza kuwa mzuri au mbaya. Huu ndiyo mwisho wa Nyaisanga. Kama hakuzichanga karata zake sawa sawa sijuwi ......Labda Tido Mhando amsaidie huko TBC.
 
Kamanda, vipi ulimwona huyo Uncle J?

Mkuu,

Kwa bahati mbya selula yake ilikuwa "un-reachable" na hakuweza kutokea kwenye zile "outlet" zetu mbili maarufu za Mwenge - moja ikitizamana na barabara inayoelekea ofisini kwake na myingine ipo nyuma ya wachonga vinyago.

Waleta habari wa ndani bado hawaja-confirm kutokuwepo kwake kazini, ila kuna "outlet" nyingine ambayo sikupita jana na natumaini kupita baadaye leo and certainly nitapata habari kamili!

Siku njema -
 
Unajua hizi kazi za kuajiliwa,sinahitaji mtu awe na nidhamu ya kazi katika kipindi chote anapokuwa kazini,kwasababu unipotokea umefanya makosa ya kawaida zaidi ya mara tatu kuna uwezekano mkubwa sana wa kufukuzwa na hasa sekta binafsi ndiyo kinara katika kufukuza watu ukilinganisha na sekta ya umma.
Na jamaa jinsi alivyokuwa mtu wa kinywaji basi inakuwa hatari kweli kufanya makosa.
 
duh.. nilikuwa kwenye mood mbaya sana na mafisadi leo.. but ya'll made my day..!! carry on!
 
lakini TBC sasa wana sera ya kutotaka wazee wao wanachukuwa vijana,nadhani inambidi arukie kwenye kazi za Public Relations ama across boda BBC ama japan au hata maredio ya wachina
 
Nimemuona leo Mwenge yuko bar anakunywa alikuwa na Isack Gamba
 
Issue ya Uncle Jay sijui imeishaje..imeingiliwa na utoto utoto tuuuuuu!
 
Issue ya Uncle Jay sijui imeishaje..imeingiliwa na utoto utoto tuuuuuu!

Mkuu uncle J (Julius Nyaisanga) yupo Ujerumani toka Februari/09 anafanya kazi Deutchwelle sauti ya kiswahili na akina Aboubakar Lyongo na Mkuu wa Wilaya Bw. Michuzi naye yupo mbioni kwenda huko.
 

sidhani kama unaimanisha ulichoandika hapo, vinginevyo humjui Joyce!
 
Mkuu uncle J (Julius Nyaisanga) yupo Ujerumani toka Februari/09 anafanya kazi Deutchwelle sauti ya kiswahili na akina Aboubakar Lyongo na Mkuu wa Wilaya Bw. Michuzi naye yupo mbioni kwenda huko.


hat mi nimesikai yuko ujerumani.mkongwe yule hawezi kukosa kazi ya maana ya kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…