Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Baada ya kuondoka ITV na Radio alienda Redio Dutch Welle. Huko nako amekuwa kimya sana. Maryland na maeneo jirani hatumuoni tena, sijui yuko wapi siku hizi. Mwenye info atujuze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazjaz, Uncle J hakufukuzwa kazi, aliacha kazi mwenyewe na pombe alishaacha zamani.Wenzake wakitoka Radio One wanaenda kufanya kazi nje, yeye kaenda Moro. Ulevi mbaya jamani. Alikuwa mlevi sana hadi IPP wakamfukuza kazi
Sio ishu jamani mambo mengine ni maisha binafsi ya mtu, kilicho muhimu hapa ni malengo ya mtu binafsi. Ulaya kitu gani siku hizi maisha yapo hapa hapa bongo, kikubwa ni kujua mitego imara ya kutega. Mbona pamoja na kuishi UK sana tu Abdallah Majura yupo Dodoma anapiga mzigo kwenye FM Radio moja hivi?
Nazjaz, Uncle J hakufukuzwa kazi, aliacha kazi mwenyewe na pombe alishaacha zamani.