Julius Nyaisanga

Weka ukweli, mweye uakika ndo atuambie j nyaisanga yuko wapi?
 
JF...ILIKUWA ZAMANI BWANA.....HAPA ILIKUWA SERA YA MKAPA...UWAZI NA UKWELI.....na kweli great thinkers ilikuwa na maana stahiki

Crap... Kama wewe ni "Mahesabu", mbona wamekuchakachua ??? Shame on you !!:nono:
 
Enzi hizo RADIO 1.....1997

Asante umetukumbusha mbali.
Msatari wa mbele waliokaa toka kushoto ni Charles Hilary 'Mzee wa Macharanga(BBC-London), Mikidadi Mahamud (Mkurugenzi, Radio Uhuru), Mzungu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa kwanza,Julius Nyaisangah (Uncle J).
Nyuma waliosimama toka kushoto. Deo Mshigeni, (sijui alipo), Mike Mhagama(DW-Radio), Monica Mfumia (sijui Alipo), Flora Nducha (Mkuu wa UN-Radio-NewYork), Vicky Msina (PRO-BOT), Aboubakar Liongo (DW-Radio-Ujerumani, Sunday Shomari (VOA-Marekani), kabinti kadogo sikakumbuki, na wa mwisho ni Taji Liondi (Mr.T) (Mkuu wa TBC-FM).
 
JF...ILIKUWA ZAMANI BWANA.....HAPA ILIKUWA SERA YA MKAPA...UWAZI NA UKWELI.....na kweli great thinkers ilikuwa na maana stahiki

kweli kabisa, ilikuwa ni vigumu kwa mtu kujibu hoja bila kuwa na uhakika, lakini sasa ni balaa, katikati ya hoja utashangaa hoja nyingine za kuchati zinaanza, hii issue ya Nyaisanga ilikuwa inapata jibu moja tu la uhakika na sio guess work, kama ulikuwa unajua alikuwa DW je bado yupo kama huna uhakika ni bora kukaa kimya
 
Kwani wadau, hivi Isaac Mruma, yule aliyebadilisha Daily News na kuipa viwango yuko wapi sasa? Mbona hasikiki?
 
Kaka MAHESABU unanishangaza umeweka ujumbe hapo kuhusu Rushwa halafu Avatar yako ina Picha ya Mwl Nyerere kama sijakosea, mtu ambaye aliichukia Rushwa kwa Vitendo. Sijakuelewa, Dadavua
 
JF...ILIKUWA ZAMANI BWANA.....HAPA ILIKUWA SERA YA MKAPA...UWAZI NA UKWELI.....na kweli great thinkers ilikuwa na maana stahiki


Kwa sasa inaitwaje vile..
 
Yupo morogoro anafanyakazi radio abood,amepewa umeneja,inaonekana amefulia
 
Labda wakazi wa Morogoro watuambie anapatikana Bar gani kabla na baada ya saa za kazi.
 

kwani hako kabinti kadogo usikokakumbuka hakawezi kuwa blandina mongezi au peace kuyamba?

Kwani hawa nao walifia wapi? Ilikuwa raha sana enzi zile kuwasikiliza charlz hillary akiwa na blandina mongezi walikuwa wanavutia sana, nako kwenye itv sunday shomari akiwa na monica mfumia kulikuwa kutamu, redio one ya sasa kweli hovyo ndo mana kwenye udaku wa siku hizi inadaiwa kuna dada ameajiriwa kisha anawapiga madongo wenzie kuwa wana lafudhi ya kichaga na yeye amekuja kuiondoa
 
Nini kilimtoa ITV/Radio wani? na ni kwa nini wengi wanatimka huko?

Mbona umekazana sana kuwa watu wanatimka, think outside the box you will see kuwa issue ya kutimka ni popote tu na sio ITV. Ila jamaa naye alikuwa chapombe sana na sigara hata angekuwa ofisini kwangu ningemtimua. Sehemu ya biashara inahitaji discipline kubwa na mtu kuwa smart.
 
Binafsi nimemisi kipindi cha ''HIZI NAZO''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…