Waungwana japo hapa si mahali pake, nachukua nafasi hii kuwafahamisha kuhusu hii scholar ship iliyoanzishwa na Edinburgh University Kwa ajili ya Watanzania tu. scholar ship iliyopewa jina La Mwalimu Nyerere kwa heshima yake, Watanzania Tuchangamike hii kitu, muda wa kuapply bado upo