GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Juma Ally Magoma ameuonya uongozi wa Yanga kuingilia kesi yake dhidi ya bodi ya wadhamini wa klabu ya Yanga akisema kitendo hicho ni hatari kwani yeye alishitaki bodi ya wadhamini ambayo sio kosa kuishitaki katika mahakama za kawaida lakini uongozi wa klabu una mahakama zake za soka.
Amesema yeye binadamu asipopata haki yake anaweza kupelekea vieleezo vyake katika shirikisho la soka dunia FIFA kuwa klabu hiyo ilimpeleka mahakamani.
Akizungumza na mwanahabari wa ITV @hoseamchopa Mzee Magoma amesema ataendelea kupambani haki yake ambapo siku ya kesho rufaa yao dhidi bodi ya wadhamini wa Yanga inatarajiwa kutajwa Mahakama kuu majira ya saa 3;30 Asubuhi baada ya kesi ya mapitio kumalizika katika mahakama ya Kisutu.
Soma Pia:
Chanzo: itvtz
Kaeni nae chini mumpoze kwa Hela kwani hatanii na akienda kweli FIFA itaathiri TFF, Yanga SC na hata Ligi Kuu ya NBC.

- Mzee Magoma ashindwa kesi ametakiwa kuilipa Yanga Sc zaidi ya Milioni 70
- Juma Magoma anataka akabidhiwe uongozi wa Yanga SC na asimamie assets zote za timu