Akipata ubunge ataongeza bibi wa tatuWaziri wa Maji na Mbunge wa Pangani Mhe. Jumaa Aweso amechukua na kurejesha fomu ya kugombea tena Ubunge wa jimbo la Pangani mkoani Tanga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Fomu hiyo iliokabidhiwa na kupokelewa baada ya kurejeshwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Pangani, Abdul Swala.
View attachment 3388443
Sunna ndugu.Akipata ubunge ataongeza bibi wa tatu
Waache warembe majukwaa kwa miandiko.Watakushtaki kwa mama unawabania.
βοΈπSunna ndugu.
Hiyo ndiyo Inaitwa "kaongeza kaongeza tena bin kutwaa"!Islamu yule,na ndoa nne si kharamu!βοΈπ
Kila awamu bibi mmojaHiyo ndiyo Inaitwa "kaongeza kaongeza tena bin kutwaa"!Islamu yule,na ndoa nne si kharamu!
Swahihi!Hapo ndiyo ule wimbo wa Fally Ipupa ukumbukwe..."akuye bibi moya hapa"...!Kila awamu bibi mmoja
Waje tu πWaache warembe majukwaa kwa miandiko.Watakushtaki kwa mama unawabania.
NI MWIZI MZURI SNHuyu ni kati ya viongozi waliofanya kazi nzuri sana . Nimtakie kila lakheri. Bado tunamhitaji wizara ya maji.
Siyo mwizi.Kamba yake ni ndefu.NI MWIZI MZURI SN