Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Atabebwa na chura asiyesikiaHuyu bwana amejipanga kugombea ubunge uku Namtumbo. Ameanzisha kiredio chake kinaitwa Cite fm, Kila siku kinamsifia.
Kwa unyama uliomfanyia Mdude Nyangali, hatukutaki na hatutaki kuwa na mwakilishi wetu ambae ni killer.
Ukibisha, we chukua fomu ila wajumbe tutakunyoosha.
Who careRC sidhani kama ananguvu ya kufanya kitu kama inavyosemwa(haya ni maelekezo kutoka kwa wakubwa zaidi yake,I mean the air hostess might be behind this act)
Homera amejichafua sanaVita Kawawa 5 tena 😂😂
Mbunge anachaguliwa na nani ? Kama wananchi hawakutaki utatoboa ?Kwani mnachagua nyie?
Nobody man,but its ok! We keep going until when fire breaks outWho care
kwa utaratibu uliopo CCM wakimpitisha tayari "kashinda" , siku ya uchaguzi tume inamtangaza mshindi hata asiposhinda.Mbunge anachaguliwa na nani ? Kama wananchi hawakutaki utatoboa ?
NgombeKuna haja ya kulaani kauli chafu na za kichochezi zinazotolewa na hao mnao waita wanaharakati kumbukeni
Kumbe hakuna uchaguzi Kuna utaratibukwa utaratibu uliopo CCM wakimpitisha tayari "kashinda" , siku ya uchaguzi tume inamtangaza mshindi hata asiposhinda.
Si unaona mlivyo wa hovyo...alafu eti ndiyo muongoze nchiNgombe
😁 Kwamba Mimi nimemukuambia nataka ongoza nchi,,ngombeSi unaona mlivyo wa hovyo...alafu eti ndiyo muongoze nchi