Atakufa nayeye mda si mrefu...Aliwahi kusema mwanafalsafa mmoja kwamba kadiri unavyopanua ndivyo wanavyotamani ! Juma homera anaondoka na kuiacha mbeya ikiwa gizani ,maswali yetu Bado alikuwa hajayajibu ! Swali la kwanza ni kweli yule kijana aliyechoma picha ya rais huko ntokela hatutamuona Tena? Swali la pili hivi ni kweli kwamba mdude nyagali hatutamuona Tena? Haya maswali juma ameondoka bila kuwajibu wanambeya !! Hatujui waliko sisi walala hoi hata wewe juma homera hata wewe umeshindwa kupata hata fununu mahali waliko? Mbeya itakukumbuka sana brother
ANAKWENDA KUPATA CHEO KIKUBWA, HUYU NI WA KUMWAJIBISHA. AWALETE MDUDE NA YULE KIJANA MDOGO MASIKINI!Aliwahi kusema mwanafalsafa mmoja kwamba kadiri unavyopanua ndivyo wanavyotamani ! Juma homera anaondoka na kuiacha mbeya ikiwa gizani ,maswali yetu Bado alikuwa hajayajibu ! Swali la kwanza ni kweli yule kijana aliyechoma picha ya rais huko ntokela hatutamuona Tena? Swali la pili hivi ni kweli kwamba mdude nyagali hatutamuona Tena? Haya maswali juma ameondoka bila kuwajibu wanambeya !! Hatujui waliko sisi walala hoi hata wewe juma homera hata wewe umeshindwa kupata hata fununu mahali waliko? Mbeya itakukumbuka sana brother
kama damu ya watu hao imemwagika itakuwa juu yake ikimlilia popote aendapo!Aliwahi kusema mwanafalsafa mmoja kwamba kadiri unavyopanua ndivyo wanavyotamani ! Juma homera anaondoka na kuiacha mbeya ikiwa gizani ,maswali yetu Bado alikuwa hajayajibu ! Swali la kwanza ni kweli yule kijana aliyechoma picha ya rais huko ntokela hatutamuona Tena? Swali la pili hivi ni kweli kwamba mdude nyagali hatutamuona Tena? Haya maswali juma ameondoka bila kuwajibu wanambeya !! Hatujui waliko sisi walala hoi hata wewe juma homera hata wewe umeshindwa kupata hata fununu mahali waliko? Mbeya itakukumbuka sana brother
Kumwajibisha vipi?ANAKWENDA KUPATA CHEO KIKUBWA, HUYU NI WA KUMWAJIBISHA. AWALETE MDUDE NA YULE KIJANA MDOGO MASIKINI!
Unafikiri kutukana ndo inakupa uhalali wa kudhulumu haki ya mtu kuishi? Kuna wakati unatukanwa kupima ustahimilivu wako kama kiongozi.Nchi imefitinika hii.Roho za hao vijana zitakuwepo Kila mahali watakapokuwa huku damu zao zikiwa mikononi mwao,machozi na Sauti za jitmai za Familia zao zitakuwa kwenye paji za nyuso zao.Write your reply...kuna tofauti ya kukosoa na kutukana
Kuna watu wanaua wenzao kwa maslahi ya pesa bila kujua nayeye atakufa!Aliwahi kusema mwanafalsafa mmoja kwamba kadiri unavyopanua ndivyo wanavyotamani ! Juma homera anaondoka na kuiacha mbeya ikiwa gizani ,maswali yetu Bado alikuwa hajayajibu ! Swali la kwanza ni kweli yule kijana aliyechoma picha ya rais huko ntokela hatutamuona Tena? Swali la pili hivi ni kweli kwamba mdude nyagali hatutamuona Tena? Haya maswali juma ameondoka bila kuwajibu wanambeya !! Hatujui waliko sisi walala hoi hata wewe juma homera hata wewe umeshindwa kupata hata fununu mahali waliko? Mbeya itakukumbuka sana brother
ubaya ubwelaUnafikiri kutukana ndo inakupa uhalali wa kudhulumu haki ya mtu kuishi? Kuna wakati unatukanwa kupima ustahimilivu wako kama kiongozi.Nchi imefitinika hii.Roho za hao vijana zitakuwepo Kila mahali watakapokuwa huku damu zao zikiwa mikononi mwao,machozi na Sauti za jitmai za Familia zao zitakuwa kwenye paji za nyuso zao.
Sitatoa siri nitakazozijua katika nafasi yangu bila ruhusa ya RaisAliwahi kusema mwanafalsafa mmoja kwamba kadiri unavyopanua ndivyo wanavyotamani ! Juma homera anaondoka na kuiacha mbeya ikiwa gizani ,maswali yetu Bado alikuwa hajayajibu ! Swali la kwanza ni kweli yule kijana aliyechoma picha ya rais huko ntokela hatutamuona Tena? Swali la pili hivi ni kweli kwamba mdude nyagali hatutamuona Tena? Haya maswali juma ameondoka bila kuwajibu wanambeya !! Hatujui waliko sisi walala hoi hata wewe juma homera hata wewe umeshindwa kupata hata fununu mahali waliko? Mbeya itakukumbuka sana brother
Aliwahi kusema mwanafalsafa mmoja kwamba kadiri unavyopanua ndivyo wanavyotamani ! Juma homera anaondoka na kuiacha mbeya ikiwa gizani ,maswali yetu Bado alikuwa hajayajibu ! Swali la kwanza ni kweli yule kijana aliyechoma picha ya rais huko ntokela hatutamuona Tena? Swali la pili hivi ni kweli kwamba mdude nyagali hatutamuona Tena? Haya maswali juma ameondoka bila kuwajibu wanambeya !! Hatujui waliko sisi walala hoi hata wewe juma homera hata wewe umeshindwa kupata hata fununu mahali waliko? Mbeya itakukumbuka sana brother
Mnamuonea bure Homera wa watu hata yeye hajui. Huo uhalifu unafanywa na kikosi maalumu kilichoundwa na Samia kikiongozwa na Abdul. Na hakiwajibiki wala kuwajibishwa na yeyote (wowote).sisi walala hoi hata wewe juma homera hata wewe umeshindwa kupata hata fununu mahali waliko? Mbeya itakukumbuka sana brother