CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Huyu ndiye aliyewaua Chaula na Mdude Nyagali ili kumfurahisha MzanzibariAliwahi kusema mwanafalsafa mmoja kwamba kadiri unavyopanua ndivyo wanavyotamani ! Juma homera anaondoka na kuiacha mbeya ikiwa gizani ,maswali yetu Bado alikuwa hajayajibu ! Swali la kwanza ni kweli yule kijana aliyechoma picha ya rais huko ntokela hatutamuona Tena? Swali la pili hivi ni kweli kwamba mdude nyagali hatutamuona Tena? Haya maswali juma ameondoka bila kuwajibu wanambeya !! Hatujui waliko sisi walala hoi hata wewe juma homera hata wewe umeshindwa kupata hata fununu mahali waliko? Mbeya itakukumbuka sana brother
Yeye ndiye kamwaga ?damu inamlilia aliyemwagakama damu ya watu hao imemwagika itakuwa juu yake ikimlilia popote aendapo!
DuUnafikiri kutukana ndo inakupa uhalali wa kudhulumu haki ya mtu kuishi? Kuna wakati unatukanwa kupima ustahimilivu wako kama kiongozi.Nchi imefitinika hii.Roho za hao vijana zitakuwepo Kila mahali watakapokuwa huku damu zao zikiwa mikononi mwao,machozi na Sauti za jitmai za Familia zao zitakuwa kwenye paji za nyuso zao.