Juma Jux anaungana na Vanessa Mdee, uhusiano wa Rotimi

Joined
Nov 5, 2019
Posts
11
Reaction score
10
Vanessa aweka wazi na sio Siri tena kuhusu uhusiano wake mpya na jaji mwenzake Rotimi aliyekuwa nae kwenye mashindano ya East Africa got talent kwa kusema

Ameamua kuweka wazi japo Ni Siri lakini Juma Jux hakushitushwa kwani anasema walibreak up tangu Disemba 2018 na wala hakushangazwa bali anasema yeye anaonesha mapenzi kwa mpenzi wake wa sasa kwani inapasa ampende....

Juma Jux amefurahishwa ya kuwa Vanesa amepata mwenza wake huyo mpya.
 
Nimefuatilia East African Got Talent mwanzo mwisho sijawahi kumwona huyo Rotimi kama Judge,,Judges walikua ni Jeff Koinange,Makeda,Gaitano na Vee mwenyewe,na Kansiime kama Host.
Mtoa mada anatulisha matango pori tu
 
Hiyo EAGT aliyokuja Rotimi ni ya wapi mkuu mbona unawaokota watu hapa.
 
Mtoa mada anatulisha matango pori tu
Anayumba kinyama,,Hizi ndo effects za Citizen Journalism,kwamba kila raia analeta tu habari pasipo kuwa na information za kutosha.
 
Lini Rotimi alikuwa judge wa EAGT ??

Mara ya mwisho nilimuona kwenye Power na Coming 2 America
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…