Juma Jux na Vanessa Mdee mahaba niue

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Eheee wapenzi hawa wameamua kuweka mahaba yao nje.Wameonekana Zanzibar week hii wakila raha.

 

Attachments

  • Screenshot from 2015-01-19 10:00:21.png
    52.1 KB · Views: 7,461
huyu vanessa mdee anahangaika na huyo muuza sembe, muda si mrefu atabebeshwa madawa
 
Yule binti aliyemtuma sembe China na kunyakwa,kamtosa?ipo siku huyu dogo atanyea ndoo..
 
Vanessa hamna kitu ktk brain,liumba kapita kwa jack,jux kapita kwa jack,jux kapita kwa vanessa.
 
Waaoo wamependezana aisee... these guys rock they look good together
 
Nilisikitika sana siku nilipoambiwa na source yangu ya kuaminika kwamba vanesa na yeye anakula unga na yule demu mzungu wa marehemu ngwea mitchele..madai yake akijitetea eti anakula usiku wakati wa kulala..daamn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…