Juma Kaseja kocha mkuu Mpya Kagera Sugar

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Club ya Kagera sugar imemtambulisha Juma Kaseja kama kocha mkuu atakuwa akisaidiana na Temmy Felix

Juma Kaseja anachukua nafasi ya Melis Medo alifukuzwa kazi na kutimkia Singida Black Stars

Juma Kaseja ana Jukumu la kuinusuru Kagera Sugar na dhahama ya kushuka daraja

Kila la heri Juma
 
Atawasaidia, dogo yuko vizuri sana kwenye maswala ya nguvu za giza
 
Kagera Sugar wana wakati mgumu sana msimu huu. Sijui shida iko wapi.
Nadhani tajiri wao amewekeza kwenye kuipandisha timu yake nyingine ya Mtibwa Sugar
Kumbuka hizi timu zinamilikiwa na tajiri mmoja
Na Mtibwa ana uwanja wake wa Turiani Manungu
 
Club ya Kagera sugar imemtambulisha Juma Kaseja kama kocha mkuu atakuwa akisaidiana na Temmy Felix

Juma Kaseja anachukua nafasi ya Melis Medo alifukuzwa kazi na kutimkia Singida Black Stars

Juma Kaseja ana Jukumu la kuinusuru Kagera Sugar na dhahama ya kushuka daraja

Kila la heri Juma
Kagera wanashuka daraja huku ndugu zao Mtibwa wakikaribia kupanda ligi Kuu
 
Kagera hawatashuka,ila watacheza playoffs na kushinda🌍
 
Back
Top Bottom