Atawasaidia, dogo yuko vizuri sana kwenye maswala ya nguvu za gizaClub ya Kagera sugar imemtambulisha Juma Kaseja kama kocha mkuu atakuwa akisaidiana na Temmy Felix
Juma Kaseja anachukua nafasi ya Melis Medo alifukuzwa kazi na kutimkia Singida Black Stars
Juma Kaseja ana Jukumu la kuinusuru Kagera Sugar na dhahama ya kushuka daraja
Kila la heri Juma
Nadhani tajiri wao amewekeza kwenye kuipandisha timu yake nyingine ya Mtibwa SugarKagera Sugar wana wakati mgumu sana msimu huu. Sijui shida iko wapi.
Siyo sasa kwakuwa Bibi yake ambaye alikuwa akimtumia sana wakati akiwa wa Moto miaka ya nyuma hatunae tena Kitambo tu.Atawasaidia, dogo yuko vizuri sana kwenye maswala ya nguvu za giza
Usajiri mbovuKagera Sugar wana wakati mgumu sana msimu huu. Sijui shida iko wapi.
Hajatafuta mbadala?Siyo sasa kwakuwa Bibi yake ambaye alikuwa akimtumia sana wakati akiwa wa Moto miaka ya nyuma hatunae tena Kitambo tu.
Watakuwepo ila siyo Wakali kama Bibi yake.Hajatafuta mbadala?
Kagera wanashuka daraja huku ndugu zao Mtibwa wakikaribia kupanda ligi KuuClub ya Kagera sugar imemtambulisha Juma Kaseja kama kocha mkuu atakuwa akisaidiana na Temmy Felix
Juma Kaseja anachukua nafasi ya Melis Medo alifukuzwa kazi na kutimkia Singida Black Stars
Juma Kaseja ana Jukumu la kuinusuru Kagera Sugar na dhahama ya kushuka daraja
Kila la heri Juma
Leseni ya ukipa na kuuza mechi.Ana_leseni daraja gani?