Kwenu watanzania
Simba - Tanzania[URL="http://www.goalzz.com/main.aspx?region=-12&team=863&team2=142"]2 : 1[/URL]Haras El Hedoud - Egypt[URL="http://www.goalzz.com/main.aspx?player=3597"]Ahmed Eid Abdelmalek[/URL] Benjamin Mkapa National Stadium
Away match
1:5Home game score3:6Total score
mhe kaseja ametenguliwa 5 huko misri usiku wa leo
kwa msaada wa kocha ajaye bado aanatufaa kurejeshwa taifa
kama ndio andika N
KAMA SIO ANDIKA S
Kaseja Galasa!
Kwenu watanzania
Simba - Tanzaniahttp://www.goalzz.com/main.aspx?region=-12&team=863&team2=1422 : 1Haras El Hedoud - EgyptAhmed Eid Abdelmalek Benjamin Mkapa National Stadium
Away match
1:5Home game score3:6Total score
mhe kaseja ametenguliwa 5 huko misri usiku wa leo
kwa msaada wa kocha ajaye bado aanatufaa kurejeshwa taifa
kama ndio andika N
KAMA SIO ANDIKA S
Swali halina mashiko;
Cassilas alifungwa nne na liverpool je hafai? jibu lako litazaa maswali mengine
Usipate pressure kiongozi. Kaseja anakuwa merely over-rated na arrogance ya watu wa pale msimbazi ambao ukiangalia arguments zao humu jamvini hakuna hata mmoja anayeonekana kuwa na uelewa wa tafsiri ya kitu kinachoitwa mafanikio (on and off the pitch).sijapata jua kaseja anapendwa kwa nini lakini ni kipa asiyetufaa kabisa! hana chochote alichofanya katika ulimwengu wa soka zaidi ya majungu no wonder hamna timu hata ya comoro inayomtaka! hana height, hana statute, makipa bora wote duniani wana statue na height na wanaokoa michomo ya wazi! kama suala ni beki pia mbona wengine hamsemi beki ndio zinawaangusha? ivo mapunda hata akapat chance ya kucheza international football kule ethipia! sssssssssssssssssssss