Juma Liuzio asajiliwa Zesco United

Rugby Union

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Posts
402
Reaction score
252

Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinadai kuwa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Mtibwa Sugar, Juma Liuzio amefuzu majaribio katika klabu ya Zesco inayoshiriki ligi kuu ya Zambia. Liuzio alikwenda nchini Zambia ampema mwezi huu kufanya majaribio ya kucheza soka nje ya nchi.

Ofisa wa klabu ya ZESCO akimkaribisha Juma Liuzio klabuni hapo kwa majaribio mwezi huu

============
UPDATES
============
 

Attachments

  • liuzio.jpg
    63.5 KB · Views: 555
hongera zake lakini afanye bidii zaidi hiyo Team inacheza sana CAF CHMPS LEAGUE kwa hiyo ni rahisi sana kuonekana, namtakia kila la kheri
 
Lakini hiyo habari yenyewe haisemi kwamba amefuzu, imeandikwa hata majaribio yenyewe yakiwa hayajaanza!
 
Lakini hiyo habari yenyewe haisemi kwamba amefuzu, imeandikwa hata majaribio yenyewe yakiwa hayajaanza!
Habari kutoka BolaZambia nimeiweka kama uthibitisho kuwa Juma alikwenda Zambia kufanya majaribio. Mimi nimewasiliana nae akiwa huko na amenithibitishia kuwa amefuzu, kinachosubiriwa ni makubaliano ya uhamisho kati ya Mtibwa na ZESCO kisha kijana asajiliwe.
 
hongera zake lakini afanye bidii zaidi hiyo Team inacheza sana CAF CHMPS LEAGUE kwa hiyo ni rahisi sana kuonekana, namtakia kila la kheri
Naungana na wewe, kuonekana mashindano ya CAF inaongeza uwezekano wa kupata nafasi kukubwa zaidi.
 
Hongera luizio. Tungepata walau vijana 5 tu wapamabanaji kama wewe tukajumlisha samata na ulimwengu soka la bongo lingekuwa juu sana. Sio sawa na yule veterani wetu mtarajiwa aligoma kwenda sudan akakopeshwa hela ailipe simba sasa umri na mpira umeanza kwenda kwao ndo anataka kwenda afrika kusini na jamaa wamembania mpaka alipe pesa zao walizomkopesha ailipe simba. Pambana luizio wazambia wengi huwa wanaenda kucheza ligi ya afrika kusini and then ulaya. Nakutakiwa kila heri kijana na ninaomba usiridhike na hapo zambia pawe kituo tu cha mapumziko kwani safari bado ndefu.
 
Bahati mbaya hukulieleza hilo halikujitokeza kwenye maelezo. Wana JF wangefurahi kujua uzuri wa habari iliyokamilika na umakini wa ufuatiliaji wako. Hongera sana. Tumwombee kijana kila la heri.
 
Hongera Sana kwake anaonekana kuwa mpanbanaji wengine huku washaridhika na kuendesha vitz...akaze buti
 
ZESCO United have signed Tanzanian teenage striker Juma Liuzio while skipper Kondwani Mtonga is set to join Indian side Shilong Lajong.

And Mamelodi Sundowns' Togolese defender Mathias Emmanuel's loan has been extended to the end of the season.

Club media and public relations officer Katebe Chengo said in a statement yesterday that the 17-year-old has signed a permanent contract at the Ndola-based Super Division title-chasing team.

Chengo said Mtonga is set to join Indian side Shilong Lajong on a six-month loan. She said negotiations with the Indian outfit started in April.

"We are happy to announce that we have acquired the services of 17-year-old Tanzanian national team striker Juma Liuzio from Mutimbwa Sugar in Morogoro, who has joined the club on a permanent basis," she said.

Defender Nyambe Mulenga and striker Patrick Kabamba have also been recalled from Power Dynamos. Kabamba has, however, been loaned to Nchanga Rangers for six months while Mulenga has returned to Ndola.

Others who have been loaned include Reuben Chansa (Konkola Blades), Perry Mubanga (Konkola Mine Police) and Chileshe Kabwe (Indeni), Chakwa Lungu (Lime) and Charles Siyingwa, who has moved to Red Arrows.

"All loan deals are for the remainder of the season to be reviewed at the end. Zesco United would like to welcome new players and wish those who have joined other clubs all the best," Chengo said.

Zesco are second on the log with 35 points, four behind leaders Zanaco.

Chanzo: Zambia DailyMail
 
Sijamsikia kuitwa Taifa Stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…