Juma lokole ni Nani?

Juma lokole ni Nani?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Huyu mtu namsikia ila simjui je anafanya biashara gani? Na mwenye picha yake plz namsikia tu anaimbwa kwenye nyimbo za Tanzania je ni celebrity?
 
Huyu mtu namsikia ila simjui je anafanya biashara gani? Na mwenye picha yake plz namsikia tu anaimbwa kwenye nyimbo za Tanzania je ni celebrity?
Kuna page inaitwa udaku special
Nahisi ukiwauliza hao wanamjua vizuri maana hata mimi namjua juu juu tu
 
Back
Top Bottom