Juma Lokole unafeli, wachaga ni kabila lenye mandsome, then top10 ya wanawake wazuri haipo

Kabisa ila wahaya kama hawajui utateseka sana ila waliwahi kuoa huko uchaggani mahali nilijua wachagga wako bright yule mzee mmoja wakihaya kaulizwa kwann umekuja kuoa uchagani alikuja na jibu tumekuja kutafuta mbegu yaani kumamaee ukumbi ulilipuka nikajua jamaa wamesaliti kuwa uchagani kuna wanawake wa kuwa wake yaani mtoto alikuwa amesimama hataree sifa zote alikuwa nazo kielimu mrembo mweupe hata kama kitandani hujui kitu ila alipewa mwanamke aisee jamaa
Hapa kwenye wahaya kakosea sana
 
Wachaga wanawake wamejaa vitambi wamekaa kama majaba matako hawana aaagh.
Ngojea nimrekebishie list kama ifuatavyo;
1)Wamburu/Wairaki
2)Wanyaturu
3)Wasambaa
4)Wanyiramba
5)Wamaasai
6)Wameru
7)Warangi
8)Wapwani
9)Wasukuma
10)Wahaya.
 
Wachaga kwenye pesa na kulewa, hajakosea hata kidogo.!! 🤣🤣🤣
Mawifi leo mnisamehe msinichambe siko vzr
 
Wachaga wanawake wamejaa vitambi wamekaa kama majaba matako hawana aaagh.
Ngojea nimrekebishie list kama ifuatavyo;
1)Wamburu/Wairaki
2)Wanyaturu
3)Wasambaa
4)Wanyiramba
5)Wamaasai
6)Wameru
7)Warangi
8)Wapwani
9)Wasukuma
10)Wahaya.
Yani ww ndo umeamua kuwachamba kabisaa.!! Ila mawifi wana vitambi vya mbege na nyama choma. Ila wazuri bana
 
Mkuu watu wa Mbeya tumekukosea nini mpaka ututaje kwenye huo mfano.
 
Huyu ni Mpuuzi sana.
Huyu jamaa ni Mpuuzi sana.
Jamaa ni Mpuuzi sana. Hajui kuwa miss Tanzania wa kwanza mwaka 1967 alikuwa mchaga na aliitwa Theresa Shayo!
 
Yani ww ndo umeamua kuwachamba kabisaa.!! Ila mawifi wana vitambi vya mbege na nyama choma. Ila wazuri bana
Mwanamke kiuno kinanyooka kama chatu!
Raha ya mwanamke kiuno kiwe na mabonde bhana ama miinuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…