Juma Masoud Faki nitagonbea Urais Zanzibar 2025

Juma Masoud Faki nitagonbea Urais Zanzibar 2025

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Watukufu Wazanzibari Wakaazi nawatangazia peupe kuwa ifikapo 2025 insha'Allah nitagombea Urais Visiwani Kwa tiketi ya CUF insha'Allah.
1660082968891.jpeg


#2025JumaFakiAtosha
 
Zanzibar Ina Mali nyingi baharini (gesi, mafuta na samaki) Tutaziendeleza.
 
Ila Hilo jina ukilitamka mbele ya wazungu Lina ukakasi kidogo[emoji3]
 
Nawaahidi Mafanikio makubwa katika awamu yangu ya uongozi 2025-2030
 
Wazanzibari Wakaazi 2025 ninawafikia Kwa pamoja
 
Utajiri wa Zanzibar unufaishe Wazanzibari kwanza
 
Back
Top Bottom