Juma Masoud Faki nitagonbea Urais Zanzibar 2025

Zanzibar Ina Mali nyingi baharini (gesi, mafuta na samaki) Tutaziendeleza.
 
Ila Hilo jina ukilitamka mbele ya wazungu Lina ukakasi kidogo[emoji3]
 
Nawaahidi Mafanikio makubwa katika awamu yangu ya uongozi 2025-2030
 
Wazanzibari Wakaazi 2025 ninawafikia Kwa pamoja
 
Sawa sawa muheshimiwa fakiii kila la heri raisi ajaye zanzibar yetu na fakiiii
 
Watukufu Wazanzibari Wakaazi nawatangazia peupe kuwa ifikapo 2025 insha'Allah nitagombea Urais Visiwani Kwa tiketi ya CUF insha'Allah.
View attachment 2590498

#2025JumaFakiAtosha

Zanzibar kuna majembe acha tu, mfano SSH na Ali hassan mwinyi, na hussein mwinyi....

Aleyommba gekke, Bhujiku ng'waka nkoi
 
Utajiri wa Zanzibar unufaishe Wazanzibari kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…