Juma Masoud Faki nitagonbea Urais Zanzibar 2025

Mr Chogo tuliza mshono huko bara. Zanzibar Ina wenyewe

Mkiambiwa Vichwa vyenu vimepigwa pasi mtasema sisi wabaguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mlivyo vilaza kazi kulaza na kundamiza watoto kwenye ubao ili vichwa vifanane na vya waarab[emoji2957][emoji1787][emoji1787]
 
Utajiri wa Zanzibar unufaishe Wazanzibari kwanza
Je umejipanga vipi kuhakikisha kile kilichofanyika 2015 hakijirudii tena?

Picha | 2015: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha ametangaza kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi visiwani humo akisema uchaguzi huo ulijaa kasoro nyingi. - kwahisani ya BBC
 
Mimi nitakua Mgombea tu sheikh hayo waulize tume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…