Juma Mgunda akiaminiwa anaweza kuiduwaza simba!

Juma Mgunda akiaminiwa anaweza kuiduwaza simba!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Simba ya mwaka huu ni mbovu zaidi kuliko ya mwaka jana! Usajili wa mwaka huu haueleweki kabisa! Lakini tukimuamini Mgunda anaweza kutuvusha.
 
Aminiwe mara ngapi? Kitendo cha kupewa timu aiongoze ni tayari kaishaaminiwa. Kilichobaki ni yeye Mgunda kuonesha kuwa ni kweli ana uwezo wa kuipa Simba mafanikio.
 
Binafsi siamini kama Simba hii ni mbovu,ila ninachokiona ni kuwa bado team haijapata muunganiko sahihi na au Kocha hajajua kuwatumia vzr wachezaji waliopo.

Simba hii haijafikia level ya Simba ya misimi kadhaa nyuma..
 
Aminiwe mara ngapi? Kitendo cha kupewa timu aiongoze ni tayari kaishaaminiwa. Kilichobaki ni yeye Mgunda kuonesha kuwa ni kweli ana uwezo wa kuipa Simba mafanikio.
Coast union kaifikisha wapi?
Na timu ya taifa je!
 
Coast union kaifikisha wapi?
Na timu ya taifa je!
Mkuu tusiulizane kaifikisha wapi Coast union hiyo inakuwa ni historia, wakati kaishapewa timu yenye wachezaji bora kwasasa ndio wakati sahihi wa kumpima uwezo wake.
 
SIMBA sio MBOVU tatizo tunacheza slow sana. Magodfather wengi. Pia PRISON wanakamia sana mazee na uwanja nao
 
Kwa Simba hii kuwaleta makocha wazungu ni kujitia hasara, wa mwachie Mgunda na Matola wamalize ligi, timu iliyopo inahitaji wachezaji wa maana wasio pungua watatu Ili iweze kui challenge Yanga.

Kwa Msimu huu walisha upoteza tangu dilisha la usajili lilipo fungwa, Viongozi wa Simba walifanya upuuzi mwingi.

Kwakuwa uongozi uliopo ulishindwa majukumu tangu mwanzo, msitegemee kuinyaang'anya Yanga kikombe chochote Kwa miaka ya karibuni.
 
Back
Top Bottom