Coast union kaifikisha wapi?Aminiwe mara ngapi? Kitendo cha kupewa timu aiongoze ni tayari kaishaaminiwa. Kilichobaki ni yeye Mgunda kuonesha kuwa ni kweli ana uwezo wa kuipa Simba mafanikio.
Mkuu tusiulizane kaifikisha wapi Coast union hiyo inakuwa ni historia, wakati kaishapewa timu yenye wachezaji bora kwasasa ndio wakati sahihi wa kumpima uwezo wake.Coast union kaifikisha wapi?
Na timu ya taifa je!