Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Ahlan
Uzi unaenda moja kwa moja kwa kocha Mgunda,nafuatilia mtanange wa simba dhidi ya prisons kupitia azam max nikiwa jijini Ljublijana hapa nchini slovenia.Nikiangalia kikosi cha simba naona wazi kuwa kocha Mgunda anapangiwa kikosi na msaidizi wake Matola. Hivyo ajiandae kabisa kutimuliwa kama walivyoondoka watangulizi wake.Kamati ya usajili ya Simba imesajili wachezaji wa kimataifa wazuri tu ila Matola amekuwa hawapendi na badala yale anataka wacheze washikaji zake kina mkude,mzamiru,bocco,nyoni n.k Hivi kwa viwango vya dejan,okwa ,banda na okrah ni wa kukaa benchi kweli?