Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Kwa ukweli matola ni sumu simbaAhlan
Uzi unaenda moja kwa moja kwa kocha Mgunda,nafuatilia mtanange wa simba dhidi ya prisons kupitia azam max nikiwa jijini Ljublijana hapa nchini slovenia.Nikiangalia kikosi cha simba naona wazi kuwa kocha Mgunda anapangiwa kikosi na msaidizi wake Matola. Hivyo ajiandae kabisa kutimuliwa kama walivyoondoka watangulizi wake.Kamati ya usajili ya Simba imesajili wachezaji wa kimataifa wazuri tu ila Matola amekuwa hawapendi na badala yale anataka wacheze washikaji zake kina mkude,mzamiru,bocco,nyoni n.k Hivi kwa viwango vya dejan,okwa ,banda na okrah ni wa kukaa benchi kweli?
🤠🤠🤠🤠 Zamu ya kumchukua Makiwendo kama kocha wa mpito nae wata mfurusha vile vile. Maana makolo hazimoMGUNDA hawezi kukaa SIMBA milele,ATAFUKUZWA TU Na atamuacha MATOLA palepale.
Sasa matusi ya nini mkuu?Phiri ana bahati ya kupata namba kwa kuwa tu alifunga kwenye mechi za awali laasivyo angekuwa benchi akimtazama bocco akicheza. F*ck matola
Hii gemu mzamiru hatakiwa hata kukaa benchigame mbichi hii
Mm Ni uto ila kunbuka kuwa mnazo mechi za kimataifa na sas HV Hakuna kulala Ni game leo baada ya maasa 72 unakutana na mechi so usimlaumu sna mgunda acha ale help za muhindi kwa MudaAhlan
Uzi unaenda moja kwa moja kwa kocha Mgunda,nafuatilia mtanange wa simba dhidi ya prisons kupitia azam max nikiwa jijini Ljublijana hapa nchini slovenia.Nikiangalia kikosi cha simba naona wazi kuwa kocha Mgunda anapangiwa kikosi na msaidizi wake Matola. Hivyo ajiandae kabisa kutimuliwa kama walivyoondoka watangulizi wake.Kamati ya usajili ya Simba imesajili wachezaji wa kimataifa wazuri tu ila Matola amekuwa hawapendi na badala yale anataka wacheze washikaji zake kina mkude,mzamiru,bocco,nyoni n.k Hivi kwa viwango vya dejan,okwa ,banda na okrah ni wa kukaa benchi kweli?
Matola anaonekana ana uswahiba na Manara na huenda ni mnufaika wa payroll ya gsm.Hii gemu mzamiru hatakiwa hata kukaa benchi
Matola anaihujumu Simba mpaka wajue tumepigwa