fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,699 Reaction score 9,323 Oct 28, 2024 #1 Kwenye benchi la Namungo yupo ngawina ngawina, kocha mgunda hayupo. Kuna nini, si alitajwa kuwa ndiye Kocha Mkuu wa Namungo?
Kwenye benchi la Namungo yupo ngawina ngawina, kocha mgunda hayupo. Kuna nini, si alitajwa kuwa ndiye Kocha Mkuu wa Namungo?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 28, 2024 #2 Yupo na mambo yake... Cc: Mahondaw
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,899 Reaction score 73,370 Oct 29, 2024 #3 Labda yupo na Taifa staz
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,976 Reaction score 6,398 Oct 29, 2024 #4 Utamuona siku makolo wakihitaji kocha wa dharura
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,205 Reaction score 15,594 Oct 29, 2024 #5 Mpaka avute kibunda, timu za kibongo saundi bwena, weka mzigo naripoti kamboni.