Mshambuliaji mahiri wa zamani wa timu ya Yanga na Taifa Stars Juma Mkambi 'Jenerali' amefariki alfajiri ya leo...Marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya tumbo kwa takribani wiki mbili sasa na atazikwa katika hospitali ya Tumbi Kibaha kabla ya kuhamishiwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.....Habari zadi juu ya mazishi yake tutajuzana....R.I.P Jenerali JUMA MKAMBI
Duh! Kama ni kweli basi kifo hakina hodi. Huyu jamaa jana mchana alikuwa anahojiwa live kwenye kipindi cha Ben na Maimatha TBC na alikuwa OK. Ama kweli hujafa hujaumbika.