Juma Mpogo na Jack Simela tangu waondoke, mnanda nao umepotea

May their souls rest in peace [emoji120]
 
'BABA NI MGONJWA' by 7-Survival.

"Baba yangu ni mgonjwa yuko kitandani kalalaa, eeh Mola nipe neema niitoe familia,
Mola nipe mavumba niitoe familiaa, nami napenda kutembelea chaser, nami napenda kuwa na jumba la kifahari kulalaaa..."

Your browser is not able to play this audio.


Wimbo huu hunikumbusha mambo mengi sana kimaisha, na hunipa morali ya kupambana kutafuta pesa.

Live long mnanda, music wetu wa asili.

-Kaveli-
 
"Kondakta kaja juu anasema haiwezekani, limeruhusiwa jeshi la polisi"

Hahahaa mnanda mtamu sana walai.

Mkuu kuna ile 'Mama Ashura' by Jagwa... ni noma hiyo ngoma.

-Kaveli-
Mama ashura unashikiwa akili
hukuvumilia mtoto akue, usimbemende muache akue,na akishakua mimi nitamchukua
Kama umalaya we dada umezidi
na kama ni tamaa zitakuponza, kama ni pombe zitakuua

R.i.p Jack simela
 
Usiseme mipango mzima wakati umeme wenyewe WA mgao, we Baba dulaaah oooh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…