Juma Nature asema yeye ndio mwenye ubavu wa kupambana na Diamond kwa sasa

hahahahaha anataka kutembea na nyota ya simba la kimanyema...

Muziki sio mashindano japokuwa aliye juu sikuzote anajulikana.. Atoe kazi, industry itoe majibu...
 
Juma Nature..!mla jana kala nini? Diamond ni international figure kwa sasa!you are just no more...huu ni ukweli mchungu...usisafirie nyota ya wengine...kujaza watu siku hizi si hoja..kinachoangaliwa je una bei gani kibindoni?
 
Kiroboto atamgaragaza Diamond Stejini,ila katika Mtonyo wa Shindano hilo Diamond lazima avute mkwanja mrefu!mathalani kama kuna 1 billioni kama ndio pesa ya show nzima nina uhakika Diamond Atavuta 900 mills,kiroboto labda 25 mills!
 
Hawez kuomba coz kuna watu hawawez till now nature yupo sawa na mkatae mkubali diamond kimuziki atasubir sana kwa Kiba yaani hiyo kubalini au kataeni
Hahahaha uongo sio mzuri mkuu kiba yupi uyo atakae mfanya mond asubiri...?
 
Juma nature mjanja kidogo sio sana.
Anatafuta kick .
Hawa hawachelewi kusema
Serikali haiwajali...
 
Ndo nataka unambie huo mziki wa kiba mkubwa ni upi kushinda mond mkuu
Muziki ambao kwanza unaigusa jamii kwa nyanja zote anazungumzia maisha na mapenzi diamond ni mapenziiiiii asubuhi mpaka usiku reference macmuga,ya Karim, yatima, hela, Mwana pili anapiga muziki unaoweza kusikizwa na rika lolote reference hizo juu lakini kubwa zaid anafanya live band na si playback kingine hamna kopy za kinigeria kama wengine mwisho jamaa ni mzuri kwenye chorus reference nainai,changanya changanya ya sharo milionea,kiboko yao ya Mwana fa, uaminifu ya Bonge la nyau na vingine pia ndo msanii Wa kwanza bongo kushare booth na wasanii wa Dunia reference R.Kelly, Neyo siez maliza Mzee vigezo ni vingi ila nakuachia task Davido alitafutwa na diamond ila davido ANAMTAFUTA Ali kiba... Chekecha akili hapo
 
Hivi inakuwaje mwanamuziki mkali kama nature inafika kipindi kila ukijitahidi kutoa.... inatoka pumba! Hata ukijifungiaaa... ukitoka kitu pumba! Inashangaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…