macelebrity wa marekani incomparable na yeyote duniani. kuna mmoja wa bongo alimtumia msg snoop kwenye blog yake akijitambulisha kama snoop wa bongo; what happened? mshikaji alitumiwa na snoop picha ya kiganja chenye vidole vyote vilivyokunjwa isipokuwa cha kati. upo hapo? jamaa akakoma kujiita snoop wa bongo.
sasa hii ya huyu bwana huyu (aliyewahi kuoa na kutaliki kwa mzee mwalubadu; mzee yule mfupi maarufu kwa kuvua ngadu) kwa vyovyote haitakuwa na uhusiano wowote ya ya huyo lil kim kwani qibla uwezo wake umeanzia kwa jk, kisha kwa kibaki, museveni, kagame, nkurunzinza na kwa madiba.