Juma Nature: Nikitaka ubunge wa Temeke naupata kirahisi kabisa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Juma Nature anaamini kuwa akiamua kugombe ubunge wa Temeke ataupata kirahisi.

Nature ameiambia XXL ya Clouds FM kuwa alishafuatwa na baadhi ya viongozi wamkita agombee nafasi hiyo.



“Walishanifuata watu, lakini kwa mwaka huu nimeona kwanza nikaushe,” amesema Nature. “Mimi mbona ubunge wa Temeke nakula, tena vizuri kabisa, bila hata matatizo.

Kwa vyama mbalimbali siwezi kuvitaja, nimeacha kwanza akina Professor wachukue kwanza, lakini baadaye miaka mingapi usije ukashangaa nipo mjengoni, nimevaa suti kali,” aliongeza msanii huyo.

Nature alisema akiwa mbunge wa Temeke ataanza kushungulia miundo mbinu ya barabara pamoja na ujenzi holela ambao umekuwa ukisababisha mafuriko mara kwa mara.
 
kwa jinsi watanzania walivyomachiz wanaweza kumpa kura
 
Ubunge ni dili unatoka kimaisha jamaniii
 
kwa nature mbn anapata!!
maana mjinga huyu anapendwaga hata sielewagi huwa watu wanampendea nin!!
wimbo aweke hata kicheko tuuu baas unahit!!
yani akigombea hata kwa chama cha NLD anapata!!
tuombe tu Mungu asichukue fomu.
 
kwa nature mbn anapata!!
maana mjinga huyu anapendwaga hata sielewagi huwa watu wanampendea nin!!
wimbo aweke hata kicheko tuuu baas unahit!!
yani akigombea hata kwa chama cha NLD anapata!!
tuombe tu Mungu asichukue fomu.

hiyo ilikuwa zaman, kwa hiki kizaz cha digitale wala habambi, mbona katoa nyimbo nyingi tu zimefeli
 
Duh!!hii ni hatare sana Kwa nchi sana Yani kila mtu anataka awe mbunge!!!wa tz walivyokuwa wajinga wanaweza mpa kura uyu jamaa,tz inaenda kuoza kabisa
 
Kabisaa, si unakumbuka Lema!

Na matunda yake yanaonekana, sasa hivi kule Arusha mtu akikukuta kwake ni kichapo mpaka unapoteza maisha...na wanainchi wakija wanachoma nyumba na magari yako...ali muradi kutekeleza kauli mbiu ya mbunge wao "uoga ni dhambi" sheria ipo mkononi.
 
Tukifkika hko bunge letu litakua kama daladala kwamba ni kila mtu anapnda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…