Juma Nature: Nikitaka ubunge wa Temeke naupata kirahisi kabisa

Nature, wanaTemeke sio wapumbavu kiasi hicho

They have eyes,wanaweza kumuona mtu ambae really ana uchungu na umaskini wao,na sio mtu anaetafuta nafuu ya maisha baada ya muziki wake kufa

Usirudie tena
 
Tena ni matusi nowadays ni fashion kila mmoja anatangaza nia kwa kua mjengoni kuna fursa nyingi za kupiga hela
 
Mheshimiwa juma kassim kiroboto msitu wa vina nature. Swali la nyongeza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…