chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Msanii Juma Kassim maarufu kama Juma Nature amesema baada ya kustaafu mziki ataingia kwenye siasa kwa kuwa yupo karibu sana na jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Nature ana tofauti gani na kina Lema? kuanzia Elimu mpka uelewa?Duh! Kama kweli Juma Nature ataingia kwenye siasa basi siasa ndio itakuwa imeingiliwa na Juma Nature!!!Na huo utakuwa ni mwendelezo wa kupatwa kwa siasa za Tanzania.
Kaishiwa ??Nimemsikia hapa clouds sasa hvi. Kijana kaishiwa huyu
Mjengoni unamaanisha clouds auKaishiwa ??
Namuona j.nature mjengoni nakuambia sasa