chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Sasa Nature ana tofauti gani na kina Lema? kuanzia Elimu mpka uelewa?Duh! Kama kweli Juma Nature ataingia kwenye siasa basi siasa ndio itakuwa imeingiliwa na Juma Nature!!!Na huo utakuwa ni mwendelezo wa kupatwa kwa siasa za Tanzania.
Kaishiwa ??Nimemsikia hapa clouds sasa hvi. Kijana kaishiwa huyu
Mjengoni unamaanisha clouds auKaishiwa ??
Namuona j.nature mjengoni nakuambia sasa