Juma Nature

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
67,252
Reaction score
168,563
Jana nilikua naangalia video fulani hivi za kina Chege na Temba ambazo kwa mtazamo wangu mdogo naona nyota ii upande wao!
Ghagla nikajikuta namkumbuka na sir nature enzi hizoo za TMK family kwakweli nilimkumbuka sana na sikuhizi simsikii na natamani kujua songi zake za hivi karibuni au kufahamu yuko wapi na anajishughulisha nanini???
 

Attachments

  • 1464747486179.jpg
    38.7 KB · Views: 65
Sorry mkuu, we ni me au ke?

Na hiyo Avatar ni ya mtoto wa kiume au wa kike?

Kama ni ya wa-kiume tafadhali itoe tu.

Samahani lakini.

Wee tangu lini mwanaume ana pozi hizo??? ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…