Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Watu wa namna hiyo wapo katika jamii ndio maana vifo vingi sio vya Mungu. Kuna njemba mmoja anamkamua kiboko maziwa ambayo anachanganya na miti fulani, akirusha hewani tu na kunuia jina husika unaondoka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Sasa si ndio uchawi wenyewe huo!?
 
Halafu kisomo ndio kitu gani?
 
Afrika tunachoweza nikukomoana....ila maendeleo no ...yaani mtu akikuona unatoka kwenda kutafuta nakurudi nyumbani kwako umechoka anaona unaringa hivyo hustahili kuishi duniani ila yeye ndio anaetakiwa kuwepo....but mm nimeipenda hio style yake yakuita mhusika Kwanza halafu ndio afanye yake....very fair and smart
 
ukipata wasaa tupatie na historia ya bibi kigagula maarufu sana katika mkoa wa morogoro aliyefahamika kwa jina ''bibi kalembwani''.

nasikia alishakufa na mikoba yake alirithi mjukuu wake.

miaka ya 90,huyu bibi alikuwa maarufu sana kwa sisi watu wa mikoa ya nyanda za juu kusini.

nikiwa mdogo nilikuwa nasikia habari kuhusu uwezo wake wa kuwaumbua wachawi, kuwaachisha uchawi kwa kuwanyoa nywele na kuwapa sharti la kutorudia mchezo huo.

inasemekana wale waliojaribu kurudia uchawi walikufa vifo vya ajabu.
 
Watoto wengi sana ..Mkoba akirithishwa mjukuu wake ( Marehemu Said ) Alikufa wiki moja baada ya arobaini ya babu yake
Bada ya kufa mrithi hakuna aliyerithi tena
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…