Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Kuna uhusiano gani Kati ya uchawi na uisilamu maana naona majina ya hao wachawi yana element za uisilamu
Sio wachawi hao ni mashekhe nilienda kuwauliza kuhusu uchawi na wachawi. Nilifanya interview hadi na wachungaji
 
Ni Samamba wa Samamba,kwahio utafiti wako kuhusu uchawi uliishia vipi.
 
Kassim Swedi nilisikia habari zake lakini sikufanikiwa kuonana nae ila kwake nilionyeshwa. Kassim Sued alikuwa na Nini?
Alikuwa mganga kupunga kutibu kukabidhi watu mkoba wa uganga,Ila hakuwa moto kama baba yake Mzee Sued hata kifo chake alijiuwa mwenyewe kujibmiza ukutani kachoka mambo alofanya alikuwa hatari akiamua mahakama kesi haisomwi haisomwi kila hakimu anakimbia hio kesi, alimsaidia Mama mmoja Igogo mumewe alikuwa na kesi ya mali ya wizi,akampa mayai ma 2 akafukie kwenye mlango wa mahakama yule Mama aliogopa sana akamwambia wewe nenda akaenda fukia hakuna mtu alimuona watu wako busy mumewe akashinda kesi,nenda3 Sengerema kaulize habari za bwana mkubwa Sheikh Mtumwa alizaliwa ujiji akahamia Mwanza Sengerema.
 
Duh huyo mzee alikuwa kiboko kweli ila nasikia Igogo noma sana kwa ulozi
 
Ni Samamba wa Samamba,kwahio utafiti wako kuhusu uchawi uliishia vipi.
Unamjua Samamba wa Samamba? Nilijua mambo mengi sana mwisho wa siku nikaamua kuachana na mambo ya uchawi coz na Mimi ningeweza kuwa mchawi kuna sehemu nilienda nikaambiwa baadhi ya vitu kuvijua inabidi na wewe uwe mwanachama kwanza Nikasema no way
 
Unamjua Samamba wa Samamba? Nilijua mambo mengi sana mwisho wa siku nikaamua kuachana na mambo ya uchawi coz na Mimi ningeweza kuwa mchawi kuna sehemu nilienda nikaambiwa baadhi ya vitu kuvijua inabidi na wewe uwe mwanachama kwanza Nikasema no way
Ndio namjua vizuri mno Ramadhan Rajab Ismail Samamba wa Samamba kuliko mtu yoyote yule anavyo mjua.
 
Ndio namjua vizuri mno Ramadhan Rajab Ismail Samamba wa Samamba kuliko mtu yoyote yule anavyo mjua.
Your father right?
I heard about him too but nilikuta tayari wanasema mashariki. Wanasema alikuwa haogopi uchawi na wachawi alikuwa anawakata masikio. Niliambiwa kuna mchawi aliwahi kukamatwa akamkata masikio. Nilitamani sana kukutana nae kwa ajili ya interview
 
Yes he was my father,alikuwa haogopi mchawi sababu alikuwa mcha Mungu hakuwa na khofu ya kumbe yoyote Ila Mwenyeezi Mungu,pia alikuwa mwanajeshi wa jeshi la Tanzania walopigana vita ya Kagera akiwa upande wa Missile,kisha akapelekwa Urusi kusoma aliporudi kuna mambo hakuyapenda kuna jambo walitumwa wafanye halikuwa la haki kama uonevu ikabidi atoke jeshini kwa kutengeneza mazingira akili haiko sawa,ndipo akaanza harakati zake za kidini kusoma na kusomesha na kutunga kitabu chake cha hukmu za Tajwiid.kuhusu kukata wachawi masikio sikweli,kulikuwa na jirani yetu mchaga Masawe alivamiwa na majambazi 12 akaomba msaada hakuna alie jitokeza kutoa msaada Baba akatoka peke yake akapambana nao wakakimbia wengine mmoja akamkamata na kumkata sikio akamuambia hii itakuwa kumbukumbu uzeeni kwako kama wezi wa 3 hivi aliwakata sikio hivyo ikapelekea yeye kuogopwa maana lilikuwa pandikizi la mtu Mmanyema Mgoma na Muhombo mrefu miguvu wakawa wanasema kachanjiwa dawa Ila ni asli tu hata Babu alikuwa hatari akaitwa Mzee Mwamba,Shangazi alikuwa hatari Bibi alikuwa hatari mie mwenyewe mtu akijichanganya anakula kipigo kama anapigwa na mwanaume 😁amefia Dar ila bado anaishi kwenye history Mwanza vizazi vipya wanapewa story zake.
 

Attachments

  • FB_IMG_1737718441447.jpg
    117.9 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1737718643728_1.jpg
    432.6 KB · Views: 5
Duh safi sana aisee wewe kweli unamjua huyo mzee walahi kama ningejua yupo Dar ningemtafuta Dar badala ya kwenda Mwanza I was so interested with his story.

Napenda sana watu wasio ogopa. No watu wachache sana duniani wenye kariba hiyo. Mfano baba angu mzazi alikuwa haogopi kabisa..
 
bilashaka kama ni kigoma zitto atakuwa anamfahamu vinginevyo ni uwongo
 
Bila shaka alipofika tu huko aliko akawa mke wa bilioni 32 wa shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…