Elections 2010 Juma Nkamia Vp

Naombeni matokeo.

Juma amechukua jimbo. Infact...CCM imechukua kata zote za jimbo hilio na imeonogoza kwa kishindo kuraza Uraisi pia. Ila kule kwa Zabein Mkhita nadhani ni Kondoa Kaskazini....wapinzania wamepeta kata 8 kati ya 30! ila mama amechukua jimbo.
 
Ok tunasubiri habari kamili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…