Juma Nyoso arushwa na mtandao wa goal.com, ashika namba 6 ya mchezaji mtukutu zaidi duniani

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
31,559
Reaction score
42,179
Unakumbuka habari ya Haruna Moshi Boban akiweka kiroba kwenye chupa ya maji? Leo hii tena ni zamu ya Juma Nyoso. Watanzania hatuishi vituko.

Leo napita pita kwenye jarida la goal.com naona wameandika wachezaji 10 watukutu kucheza mpira na jembe letu Juma Nyoso ameshika nafasi ya 6 kwa utukutu duniani,

Sababu ya kuwa namba 6 wameiandika, alikuwa akiwaingiza wachezaji wenzie vidole huko nyuma kwenye makalio, na wameandika amewahi wafanyia wachezaji zaidi ya watatu.

List kamili hii hapa

10. Luis suarez
9. Marouane fellaini
8. Volkan demirel
7. Diego costa
6. Juma nyoso
5. Granit xhaka
4. Felipe melo
3. Yannick cahuzac
2. Pepe
1. Nigel de jong

Soma zaidi hapa

Fellaini, Pepe and football's top 10 most controversial players | Goal.com

 
Sishangai kitu hapo [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
mchezaji ukiwa beki lazima mshambuliaji akuogope
hata hivyo tumetajwa hata kwa mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…