Juma Nyoso unafanya bangi ionekane walioiharamisha walikuwa sahihi

Itakuwa ya Njombe ile mwendazake aliyomshauri Profesa Mbarawa avute ili awe mkali.
 
Kabla ya ile red card azam alikua amepoteana kabisa mpaka nikajiuliza ndo hawa waliompigia simba mpira mkubwa, leo ndo nimejua kwanini azam hawachukui ubingwa hawa jamaa wanachagua mechi za kucheza mpira especially wanapokutana na simba na yanga
 
Juma nyosso alimpiga dole la takro John Bocco, alafungiwa mechi tatu
 
Kabla ya ile red card azam alikua amepoteana kabisa mpaka nikajiuliza ndo hawa waliompigia simba mpira mkubwa, leo ndo nimejua kwanini azam hawachukui ubingwa hawa jamaa wanachagua mechi za kucheza mpira especially wanapokutana na simba na yanga
Jamaa kaigarimu timu kishamba sana ilikua ni suala la muda tu Ihefu kupata bao,Azam hakua kwenye ubora wake kabisa walipoteana kila idara.Ihefu was the best team by far mpaka huyu mwehu alipovuruga shughuli.
 
Binafsi huyo Nyoso namchukulia tofauti kitambo sana ukiangalia matukio tukio yake ni nahitimisha jamaa kuna fuse haziko sawa ndio ukweli sio mzima yule
 
alikua ni Boko
Ila twende mbele turudi nyuma kwa upande wangu NBCPL kuna wachezaji wawili tu wa kariba yake ambao nawakubari pamoja na mapungufu machache waliyokua nayo

1. Juma Saidi Nyoso
2. Bakari Nondo Mwamnyeto

Hao wacheza nawakubari sana
 
Hizi codes hua zinanichanganya

Yaani
Simba ndio Makolokolo Fc au Kinye Fc
Na
Yanga ndio Utopolo Fc au Vyura Fc

Azam ni Lamba Lamba Fc

Ihefu je ni nini Fc?

Au nmekosea?
 
Huyu jamaa kichwani sio poa
Miaka ya nyuma aliwahi kumshika mchezaji mwenzake makalio
Sijui alikua ni Boko au Yondani ndo alitiwa dole huyu jamaa shenzi kabisa.
Alimshika Boko.
 
Kabla ya ile red card azam alikua amepoteana kabisa mpaka nikajiuliza ndo hawa waliompigia simba mpira mkubwa, leo ndo nimejua kwanini azam hawachukui ubingwa hawa jamaa wanachagua mechi za kucheza mpira especially wanapokutana na simba na yanga
Mtangazaji alisemà Wana fatiki.
 
Mnaosema huyu jamaa Ni mchezaji mzuri mpimwe mkojo
Wachezaji wote wazuri wako Simba.

Akili zake huyu anafaa akacheze Yanga kwa wajinga wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…