balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Nov 1, 2022 #41 Emmahu said: Huyu jamaa kichwani sio poa Miaka ya nyuma aliwahi kumshika mchezaji mwenzake makalio Sijui alikua ni Boko au Yondani ndo alitiwa dole huyu jamaa shenzi kabisa. Click to expand... John Bocco ndo alitiwa dole na Nyoso
Emmahu said: Huyu jamaa kichwani sio poa Miaka ya nyuma aliwahi kumshika mchezaji mwenzake makalio Sijui alikua ni Boko au Yondani ndo alitiwa dole huyu jamaa shenzi kabisa. Click to expand... John Bocco ndo alitiwa dole na Nyoso
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Nov 2, 2022 Thread starter #42 Mzee Shirimaa said: Mnaosema huyu jamaa Ni mchezaji mzuri mpimwe mkojo Wachezaji wote wazuri wako Simba. Akili zake huyu anafaa akacheze Yanga kwa wajinga wajinga Click to expand... Kwani umeambiwa hapa ni fesibuku?
Mzee Shirimaa said: Mnaosema huyu jamaa Ni mchezaji mzuri mpimwe mkojo Wachezaji wote wazuri wako Simba. Akili zake huyu anafaa akacheze Yanga kwa wajinga wajinga Click to expand... Kwani umeambiwa hapa ni fesibuku?
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Nov 2, 2022 Thread starter #43 BUSH BIN LADEN said: Nilishtuka nikadhani una suggest bangi yote ipigwe marufuku Click to expand... Siyo rahisi kupendekeza hivyo, ni Watu wachache kama huyu Nyoso ndo wanaharibu sifa ya mmea.
BUSH BIN LADEN said: Nilishtuka nikadhani una suggest bangi yote ipigwe marufuku Click to expand... Siyo rahisi kupendekeza hivyo, ni Watu wachache kama huyu Nyoso ndo wanaharibu sifa ya mmea.