Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Una demu?Good morng Africa
Ivi juma pili natakiwa kufanya nini mpaka saa sita usiku nipeni ratiba kanisani nishatoka [emoji849]
Una demu?
Vizuri.Nipo single nimeachwa
Vizuri.
Weka muziki mzuri wakati unajiandalia lunc
Subiri mpaka jioni jioni nenda swimming ogelea mpaka usiku
Then rudi nyumbani koga then lala
Basi tulia ndani tu tazama unachopenda kwenye TV mpaka siku iisheSitaki kelele zozote zile
Funga milango,weka vibration panda kitandani lalaSitaki kelele zozote zile
Basi tulia ndani tu tazama unachopenda kwenye TV mpaka siku iishe
Si hutaki kelele jombaa. Mimi siui kwakuwa siwezi kuhuisha.
Funga milango,weka vibration panda kitandani lala
kunywa chai,chat JF, kula cha mchana lala kidogo,amka jioni nenda kazurure sehemu isiyo na watu wengi wanaokufahamu kama una hela panda daladala lenye ruti ndefu shukia kituo cha mwisho zunguka kidogo kisha panda tena kurudi unapoishi,oga kula msosi wa usiku,peruzi mitandaoni,sali ulale
Nunua kingine mkuuDah af kwangu kisimbuzi kimeisha
JF is never boring[emoji23]Good morng Africa
Ivi juma pili natakiwa kufanya nini mpaka saa sita usiku nipeni ratiba kanisani nishatoka [emoji849]
Nunua kingine mkuu
Kufa mkuuSina pesa kwa simu na sitaki kutembea njee sitaki kuonekana kifupi
Kufa mkuu
Umesema hutaki kuonekana na mtu mkuuNjoo uniue