Waiting soup marehemu Yule, merry mwembamba kakomaaAlivuna sifa tu mkuu
Umenikumbusha mkali mwingine anaitwa wandiba alikuwa vzuri, wanamuziki toka Kongo wakija bongo yeye ndy alikuwa bodyguard achana na bodyguard wa Sahv wanaowalinda wakina mondi harmonise
Wamejaaa minyamaaa tu
Ova
Stibba aliingia mitiniNimekumbuka Hiyo... Hapo American Chips Kwenye Hilo Pambano, Nakumbuka Juma Ngedere Aliingia Pale Kwenye Pambano Saa 9 Alasiri, Masaa 3 kabla ya Muda Wa Kuanza Pambano... Alifanya mazoezi makali mfululizo Kuanzia Saa 9 hadi 12 Kama Maandalizi... Watazamaji wakajua Kuwa Leo Atakufa Mtu, wakaamua Kuanza Kutoka Mmoja MmojaView attachment 1516228
dah huyo msela amechoka hivyo ndio alikuwa anawakalisha wanaume wa dar.....Nimekumbuka Hiyo... Hapo American Chips Kwenye Hilo Pambano, Nakumbuka Juma Ngedere Aliingia Pale Kwenye Pambano Saa 9 Alasiri, Masaa 3 kabla ya Muda Wa Kuanza Pambano... Alifanya mazoezi makali mfululizo Kuanzia Saa 9 hadi 12 Kama Maandalizi... Watazamaji wakajua Kuwa Leo Atakufa Mtu, wakaamua Kuanza Kutoka Mmoja MmojaView attachment 1516228
Mrangi na watu wa Dar!Huyu ni kaka yake amri said Sema Sahv juma ngedere kama hayuko Sawa....
Binafsi namjua vizuri sana, Kuna wakati fulani kulikuwa na mbabe mmoja anaitwa stiba mtoto wa kitanga alitaka kuyakanyaga kwa ngedere,
Juma ngedere alimwambia akaombe kibali kbsa ili siku wazipige, ikapangwa siku eneo lilipangwa wazipige amerikan chips Enzi hzo wako manyanya au nyuma ya kituo cha kwenda posta
Stiba hakutokeaaa alikula konaaa
Juma kakomaa sana licha na mambo yake ya kata jamaa ni fundi seremala Sema Maisha Sahv yamebadilika sana ubabe utamfanyia nani
Ova
Wandiba mwembamba Kama James Francis Kabilu, kuna siku alisababisha Defao aaibikeAlivuna sifa tu mkuu
Umenikumbusha mkali mwingine anaitwa wandiba alikuwa vzuri, wanamuziki toka Kongo wakija bongo yeye ndy alikuwa bodyguard achana na bodyguard wa Sahv wanaowalinda wakina mondi harmonise
Wamejaaa minyamaaa tu
Ova
Mrangi wewe kweli ni mtu wa Dar kiundani mno. Yaani wa mjini.. sio kama sisi ambao tulikuja kwa ishu za chuo. Nakufananisha na mzee mmoja wa Ilala ananipigiaga stori za matukio makubwa ya mjini kuanzia sherehe za uhuru na kuendelea.Stibba aliingia mitini
Ova