uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Habari wadau je jukwaa la wanaume na wanawake tumtangaze huyu jamaa ambae amekufa akimtetea mke wake dhidi ya wadai wake kama man of the year!?
Maana si kawaida huenda mwingine angekimbia na kuacha "matatizo"kwa mke wake lakini yeye aliamua kuwavaa oya na kuwasababishia "matatizo"
Zamani kabisa wanaume walipoenda vitani wakiambiwa kapambane kwa ajili ya nchi Yako na mke wako jambo Hilo tumeliona kwa Mfaume akifa kiume