i wish ningekuwa wakala wachezaji fasta tumuuze nje akiendelea bongo ataishia kama wengine tu very sadMijawapo wa viungo walinivutia sana kwenye Kagame Castle Cup iliyoisha wiki iliyopita mbali ya Nurdin Bakari ni huyu dogo Kijiko,japo alicheza mechi chache lakini ameonyesha uwezo mkubwa sana,anakuja kuwa nguli na fundi sana akipewa nafasi.
Namkubali sana huyu dogo,lakini kama inavyoripotiwa kuwa alimuumiza kwa makusudi Kazimoto siku ile ya fainali (japo ilisaidia),litakuwa si jambo la kiuanamichezo.i wish ningekuwa wakala wachezaji fasta tumuuze nje akiendelea bongo ataishia kama wengine tu very sad