Juma Thomas Zangira: Mtanzania wa kwanza kushitakiwa kwa ujasusi

kesi ya kifungo miaka 20 inachukua DPP, sijui Mahakama Kuu, Jaji Mkuu, speedy trial... Kwa nini? Vitu vingi vinavyofanyika third world havi make sense, hakuna anaeweza kukueleza kwa nini vinafanyika, mantiki zake nini...

ujambazi benki ni miaka 30 jela, unahukumiwa na hakimu wa wilaya, sio hata hakimu mkazi, unashitakiwa na lance koplo wa Stakishari Police Post na state attorney aliyetoka law school mwanzoni mwa mwaka huu... na unapigwa mvua 30 na kazi ngumu...

what was the big fat deal about this 20 year sentence prosecution?
 

Usaliti kwa taifa lako.
 
Yes nilikuwa napenda kufuatilia kesi, hiyo kesi ya uhaini ya Juma Thomas Zangira pia niliifuatilia.
Ilizungumzwa hapa na humu kuna nyuzi nyingi tuu za kesi hii,
Pamoja Na Ufisadi Wake Wote, Chenge is One of Best Brains Kwenye Bunge Full of Ignorants - JamiiForums

Kesi yenyewe kamili imeripotiwa hapa
Juma Thomas Zangira: Mtanzania wa kwanza kushitakiwa kwa ujasusi - JamiiForums

P
 
Jamaa alikuwa anatembea kiboya sana
 
Nitaisoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…