Maji ya visima ni kwa watu wenye shida ya maji. Mito kibao halafu uanze kutafuta maji chini.Achaneni na surface water, ndege na wanyama ndiyo watumie binadamu tunapaswa kutumia groundwater.
Maji ya visima ni kwa watu wenye shida ya maji. Mito kibao halafu uanze kutafuta maji chini.
Inatakiwa kujengwa reservoir ambayo itakuwa na maji mwaka mzima. So ule mradi wa bwawa mto Ruvu ndiyo jambo la akili.Basi kuna mto Ruvu choteni msilalamike
Huyu ni waziri wa hovyo. Linaongea limepanua domo kama jehu.Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewatoa hofu wananchi wa Dar es Salaam kuhusu upatikanaji wa huduma ya maji, akisema kuwa jitihada mbalimbali zinaendelea ili kuhakikisha huduma hiyo inaimarika.
Aidha, Aweso ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuanza mara moja utekelezaji wa awamu ya pili ya mradi huo ili wananchi wa maeneo ya Kigamboni, hususani Kata ya Kisarawe II, ambao bado hawajafikiwa na huduma, waweze kupata maji.
Amesisitiza pia kuwa maji yatakayozalishwa yafikishwe katika maeneo mengine ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Asante...Achaneni na surface water, ndege na wanyama ndiyo watumie binadamu tunapaswa kutumia groundwater.
Na huyo ndo miongoni mwa mabest wa mama. Sasa huyo aliyemteua yupoje huku juu??Amesahau kusema kwa sasa wakaoge baharini
Kweli kiazi ni kiazi tu!